Mwigizaji wa Hollywood, Denzel Washington amebatizwa rasmi Desemba 21, 2024 katika Kanisa la Kelly Temple of God in Christ lililopo kitongoji cha Harlem jijini New York, Marekani.
Licha ya mabasi kuwapo, upatikanaji wa tiketi umekuwa na changamoto katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, jijini Dar es Salaam, mawakala wakizihodhi na kuuza kwa bei ya juu.